Pre GE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"

Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,

HOJA YANGU,

1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?

2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?

3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?

4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?

5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?

NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Sasa kama hashindi mumuache aaibike
 
Mikoa mingapi imesema?

Mbowe anashughulika na wapiga kura huku Lissu akishughulika na mashabiki.

Kwani Mbowe angeamua kualika wa watu waseme si tungechanganyikiwa tumsikilize nani?. Wakuu wa Kanda na Mikoa wote wanamtaka Mbowe. Wewe huogopi?

..sasa Mbowe haungwi mkono na mashabiki na wanachama wa kawaida hata mmoja?

..yeye anaungwa mkono na wajumbe tu? Huyo ni kiongozi wa aina gani?

Cc Erythrocyte, brazaj
 
Wewe unahangaika na wanao ingia mtandaoni? Kwani CDM inawanachama wangapi Hadi uhesabu tu wanao ongea?

Strategy ya kujipa uhalali ni kutumia vizuri media huku ukijua kwa ground mambo si mambo. Mbowe angetaka na yeye atumie media nazani tusingemsikia Lissu.

Ki Africa watu humuheshimu sana mtu akiwa kwenye kiti chake. Hata Mbowe akiamua atumia media watu watamuunga mkono wengi sana
 
Wewe unahangaika na wanao ingia mtandaoni? Kwani CDM inawanachama wangapi Hadi uhesabu tu wanao ongea?

Strategy ya kujipa uhalali ni kutumia vizuri media huku ukijua kwa ground mambo si mambo. Mbowe angetaka na yeye atumie media nazani tusingemsikia Lissu.

..mbona Mbowe anatumia media kufanya mahojiano sawa na mpinzani wake?

..kwenye wenyeviti wa mikoa na kanda tumewaona wanaomuunga mkono wakiwa kwenye media.

..mashaka yangu ni kwamba tangu lile kundi lililoandamana kumtaka Mbowe achukue fomu, sijaona tena wanachama wa kawaida, na mashabiki, wanaomsemea vizuri.

..Mwenyekiti anayeungwa mkono na wajumbe, lakini hauziki mtaani, atawafaa Chadema, na upinzani kwa ujumla?
 
Unajuaje kuwa wale wanao jiita wanachama ni wanachama kweli?
Kuna spinning kubwa inaendelea.

Amandla...
 
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"

Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,

HOJA YANGU,

1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?

2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?

3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?

4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?

5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?

NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Mbona mnatumia Nguvu sana kusema haishindi? Tatizo ni nini Hadi msisubirie kura kuamua? 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFCe0WroJdp/?igsh=b2t0b2h6MjdsczJm

Mbowe kamatia hapo hapo lowalo na liwe.
 
Machawa wa timu mbili zinazopigania kujenga nyumba moja mnaendelea kupasuana, crazy world.
 
Chamuhimu Mbowe ashinde ili kukiokoa chama kisiingie mikononi mwa wahuni na waropokaji!!
Lissu hawezi kuongoza watu ye mwenyewe anafaa kuongozwa maana hana break,busara,hekima nk.
 
..mbona Mbowe anatumia media kufanya mahojiano sawa na mpinzani wake?

..kwenye wenyeviti wa mikoa na kanda tumewaona wanaomuunga mkono wakiwa kwenye media.

..mashaka yangu ni kwamba tangu lile kundi lililoandamana kumtaka Mbowe achukue fomu, sijaona tena wanachama wa kawaida, na mashabiki, wanaomsemea vizuri.

..Mwenyekiti anayeungwa mkono na wajumbe, lakini hauziki mtaani, atawafaa Chadema, na upinzani kwa ujumla?
kwani mkimchagua mwenyekiti wa chama mnampeleka kwa wananchi?

subiri mgombea urais.
 
Back
Top Bottom