Pre GE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

Pre GE2025 Ifike mahali tuache Kudanganyana, Mbowe hashindi, Mpaka Sasa hakuna Mkoa au Jimbo hata Moja lililosema linamuunga Mkono Mbowe, Kura Zake Ziko Wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mitandao inamzika rasmi mhuni wa ubelgiji.
Endelea kuota.Mbowe ni tapeli na ndiyo maana alivyotoka tu gerezani akatengeneza namba yake ya kupokelea michango ya JOIN THE CHAIN tofauti na ile iliyokuwepo.
 
Kwa taarifa Yako tu ni kwamba lissu ni mshamba mnoooo kwa mbowe. Umeona mbowe anapata shida kama huyo artificial chiba wenu?!! Hamjui siasa, nyie subirini kukasirika, kufanya fujo na kuhama Chama.
Ajue siasa akataliwe na wanachama walio wengi?
Anadhani rushwa zitamfanya akubalike?
Hawezi kupigana na Wakati akashinda, nyie kuleni pesa za Abdul tu
 
Kijana, Jabari Mbowe hajaanza siasa jana kama hao .jamaa zako kila kukicha ni kubwabwaja as if matamko ndiyo idadi ya kura.
Eti kete yake ni kugawa rushwa.
Hivi akishinda atamwongoza nani kama wanachama walio wengi wamemkataa?
Yeye na wapambe wake watayapata matokeo wakati wa uchaguzi mkuu. Hatuwezi kujishughulisha na saccos ya mtu tena.
 
Mbowe anapanga kuiba kura tu na kutoa rushwa, Huyu Mzee hakubaliki kabisa
Fedha zake zitaliwa na asipo angalia uchaguzi huu unaweza kumfilisi kwa sababu mbowe hana biashara za kutisha ila fedha nyingi snazo linga ni fedha anazopewa na watu mbali mbali aidha asidie chama au akiuwe chama, msikubali msimu huu kusema amekikopesha chama mabilioni kama siku zote anavyo tumia janja janja kubambikia chama madeni hewa kama kakopa kokote hayo ni madeni yake binafsi mwisho wa ubaya ni aibu
 
Ajue siasa akataliwe na wanachama walio wengi?
Anadhani rushwa zitamfanya akubalike?
Hawezi kupigana na Wakati akashinda, nyie kuleni pesa za Abdul tu
Lissu ana akili, lkn busara na maono kakosa Huku akiwa mshamba.
Mbowe ana akili, ana busara na ni mjanja.

Mashabiki wa lissu, km wewe, mmekosa vyote. Mmebarikiwa vidole tu vya kutyp humu basi
 
Tulia acha mapepe, BOX si keshokutwa tu kijana, hapo ndipo utakapojua utamu na uchungu wa siasa.

Mtu akishayavulia nguo huna hana namna nyingine ni lazima ayaoge
 
Lissu ana akili, lkn busara na maono kakosa Huku akiwa mshamba.
Mbowe ana akili, ana busara na ni mjanja.

Mashabiki wa lissu, km wewe, mmekosa vyote. Mmebarikiwa vidole tu vya kutyp humu basi
Huu uchaguzi umefanya tuwajue wajinga wengi!! Halafu Lissu alivyokosa hekima anasema kabisa kagombea uenyekiti sababu wenje kaitaka nafasi yake!! Hapo katangaza shari na sikuwahi jua ana akili Za kitoto namna hii!!!
 
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"

Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,

HOJA YANGU,

1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?

2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?

3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?

4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?

5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?

NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Mbona kelele nyingi? Kama Mbowe haungwi mkono si tutaona Jumanne? Naona mmeanza kuandaa mazingira ya kusema ameiba kura.
 
Eti kete yake ni kugawa rushwa.
Hivi akishinda atamwongoza nani kama wanachama walio wengi wamemkataa?
Yeye na wapambe wake watayapata matokeo wakati wa uchaguzi mkuu. Hatuwezi kujishughulisha na saccos ya mtu tena.
Acha kuchachawa...hakuna rushwa bwa mdogo, hivi kwa akili zako Lissu anaweza kupambana na Jabari la Siasa nchini.

Mngeuliza kwanza....CDM haijafika hapa ilipo kwa bahati mbaya kijana - kuna mtu aliiongoza wenzake hadi wewe na jamaa zako maropo mkaitamani.
 
Kwani yule mama aliyeshinda anayeongea kama kibogoyo hapigi kura
 
Wana harakati sio viongozi,ndio maana hawakujaliwa utulivu,ila wamejaliwa midomo haswa kutetea na ni mabingwa wa kutokusema madhaifu yao.Hao viongozi walikuwa wa kanda kila wakiulizwa walichofanya wanajiepusha kujibu.Hao wengine walishindwa kuendeleza NCCR na TLP.Haya mambo kuna haja ya kutafakari,ndio maana kila siku washabiki wao wanaendelea kupungua
 
Kama wewe huzioni kura za mbowe basi tambua Lisu na kundi lake wameziona ndio maana anaropoka hovyo kwenye vyombo vya habari...
Nyie watoto wa elfu2 bado mnanuka maziwa ya mabeki tatu hamuelewi kitu
 
Back
Top Bottom