kwani mkimchagua mwenyekiti wa chama mnampeleka kwa wananchi?
subiri mgombea urais.
Unajuaje kuwa wale wanao jiita wanachama ni wanachama kweli?
Kuna spinning kubwa inaendelea.
Amandla...
Wewe unahangaika na wanao ingia mtandaoni? Kwani CDM inawanachama wangapi Hadi uhesabu tu wanao ongea?
Strategy ya kujipa uhalali ni kutumia vizuri media huku ukijua kwa ground mambo si mambo. Mbowe angetaka na yeye atumie media nazani tusingemsikia Lissu.
Ki Africa watu humuheshimu sana mtu akiwa kwenye kiti chake. Hata Mbowe akiamua atumia media watu watamuunga mkono wengi sana
Ni asilimia ngapi ya watanzania wanachangia kwenye mitandao? Unaamini kuwa katika uongozi wake alikuwa mbaya sana kiasi cha kukataliwa na wanachama wote wa Chadema?..yeye mbowe hana wanachama na wapenzi wa kweli wa kumsemea ktk mitandao?
Busara na hekima ni nini..?Chamuhimu Mbowe ashinde ili kukiokoa chama kisiingie mikononi mwa wahuni na waropokaji!!
Lissu hawezi kuongoza watu ye mwenyewe anafaa kuongozwa maana hana break,busara,hekima nk.
Utawaona kesho. Sidhani kama ana haja ya kufanya maigizo kudhihirisha kuwa ana watu wanaomkubali...alishatumia media wakati wa kumshawishi kuchukua fomu.
..sasa kwanini hatuoni tena hamasa ya wanaomuunga mkono sehemu mbalimbali?
Kura zinapigwa na wajumbeWataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA YANGU,
1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?
2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?
3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?
4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?
5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?
NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Hehe .kesho kura..alishatumia media wakati wa kumshawishi kuchukua fomu.
..sasa kwanini hatuoni tena hamasa ya wanaomuunga mkono sehemu mbalimbali?
Mbowe hashindiWataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA YANGU,
1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?
2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?
3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?
4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?
5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?
NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
hawezi kujitoa.FAM atajiondoa dakika za mwisho na kumuunga mkono TAL.
Mbinu hii kisiasa ni kete ya ushindi kwa wote na inaepusha mpasuko.
Ngoja tuoneKweli tupu