kwani mkimchagua mwenyekiti wa chama mnampeleka kwa wananchi?
subiri mgombea urais.
..mwenyekiti na mgombea uraisi wote wanapelekwa kwa wanachama, na wananchi.
..mwenyekiti ndiye anayemuandalia mgombea Uraisi umma na wapigakura.
..mwenyekiti lazima awe mtu anayewatia moyo, na kuwavutia, wanachama na mashabiki, kukijenga chama.