Ifike Mahali tumheshimu Jakaya

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanini Watanzania ni maskini?
Huwa nafikiri hivyo bila kupata jibu sahihi.

Ngoja nikae chonjo labda naweza kupata hapa
 

Hahahah.. wewe bana. Huijui nchi ilikuwa gizani? . Umeme wa mgao kila siku?

Madawa hospital ilikuwa shida?

Chuo wanafunzi hawakuwa na mikopo? Kila siku migomo?

Fanya homework vizuri kabla ya kuandika.
 
Mchagua Nazi Huchagua Koroma
JK Aliupiga Mwingi Na Mwisho Ukatoka Nje πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
JK alikuwa na chumaulete kila nikiwambia hamniamini
 
Walionufaika na utawala wa JKN, watamsifu milele
Walionufaika na utawala wa AHM, watamsifu milele
Walionufaika na BWM, watamsifu milele
Walionufaika na JMK, watamsifu milele
Walionufaika na JPM, watamsifu milele
Wanaoendelea kunufaika na utawala wa SSH, wanapiga mapambio tu.

Muhimu ni kujua tu, wanufaika hao kwa kila awamu ni watu wa namna gani? Na hili ni rahisi sana kujua. Ila vyovyote vile itakavyokuwa, kundi la wakulima na wale walioishi kwa chini ya dola 1 kwa siku wameendelea kuwa pale pale kwa awamu zote hizo.
 

Unajua Nehemiah Mchechu ali transform CBA bank Tanzania kutoka loss making to profit making ndani ya mwaka mmoja tu. Ndo Jakaya akampeleka NHC na huko akaifanya kua largest real estate company in East & Central Africa. Mtu kama huyu alifaa kuwekwa kwenye shirika kama TTCL tuone likishindana na Vodacom. Ila kwa sababu ya siasa wamejazana makada wa CCM tu!
 
Inasikitisha sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mpango, Muhongo, Pro Assad pia aliwavuta yeye
 
haa nehemiah ossoro leo yuko wap na elimu yake ua uprofesor..mana kipindi cha mwanakwenda alipata fursa kubwa ikiwepo ila kupitishwa k2a hoja zake kipindi cha makenikia pale bandarini...
 
Jakaya ni mtu na nusu, ila alichokufanyia 2015 sio poa kabisa.
Endeleeni kumsifia sifia mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo. Jamaa anakula mgao wa IPTL kila siku milioni 450 narudia kila siku. Gesi kauza. Mitanzania sisi sijui tukoje.
 
Reactions: BAK
JK ndiye katuachia huu msala wote na bado amerudi kwa mlango wa nyuma
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…