Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelewa uozo wa JK na umahiri wa JPM na sasa SSH unahitaji elimu ya juu kabisa. Usipoelewa utahisi unajua!Huyu jamaa kwani aliwazaje kuongoza nchi iliyojaa ufisadi kiasi kile, lakinin ajira zilikuwepo za kutosha, mishahara ikawa inapanda kila mwaka, makodi na matozo ya kukomoana haya yalikuwa hayapo, Demokrasia ilitawala na watu walikuwa na pesa.
Tangu atoke wameingia hawa wawili ambao wanatuambia ufisadi umepungua lakini maisha tait, ajira hakuna, mishahara haipandi, tozo na kodi za kukomoana ndo usiseme..
Nadhani Jakaya anastahili heshima kubwa sana kt nchi hii
Kila mtu ana mazuri na mabaya yake, kwangu mie JK alikua na mazuri mengi.
Inaonekana unachuki sana na JKEndeleeni kumsifia sifia mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo. Jamaa anakula mgao wa IPTL kila siku milioni 450 narudia kila siku. Gesi kauza. Mitanzania sisi sijui tukoje.
Lakin kwenye utawala mambo yalienda vema kuliko hata hawa ambao sio mafisadi mkuu, ndo hapa tunajiuliza, kwa ufisadi ule aliwezaje kupeleka mambo vile?
Yes , Kwa kutuletea Katiba mpya, kwa kutuletea Mwendazake.Huyu jamaa kwani aliwazaje kuongoza nchi iliyojaa ufisadi kiasi kile, lakinin ajira zilikuwepo za kutosha, mishahara ikawa inapanda kila mwaka, makodi na matozo ya kukomoana haya yalikuwa hayapo, Demokrasia ilitawala na watu walikuwa na pesa.
Tangu atoke wameingia hawa wawili ambao wanatuambia ufisadi umepungua lakini maisha tait, ajira hakuna, mishahara haipandi, tozo na kodi za kukomoana ndo usiseme..
Nadhani Jakaya anastahili heshima kubwa sana kt nchi hii