Ifike Mahali tumheshimu Jakaya

Kazi ya kuhamisha goal post!
Mmembagaza Magufuli ili kufuta legacy yake naona mmeshindwa.
Mkahamamia kwa mama, akakanyaga mafuta kidogo sasa mko hoi na hao viongozi magaidi.
Sasa naona mnahamia kwa Kikwete ambaye nyie hao hao mlimwita rais dhaifu!
Kama kawaida 👇, nadhani mnatakiwa mkapimwe akili (kwa mujibu wa mchungaji Msigwa)
 
Kama mshahara ulikua unapanda kila mwaka bas tupe hesabu mzee aliongoza miaka 10 na unadai kila mwaka aliongeza msharaha so awali watu walilipwa bei Gan mfano walim mana now ni laki 3 mpaka 4 kwaio miaka kumi alikua anawaingezea bei Gan na awali walilipwa bei Gan?

Pili nyuma maisha yalikua Rais kwa vijana wengi ambao wanalalamika sasaiv kua maisha magum kipind kile wengi walikua watoto wa Mama hawana Majukum maisha kwao ilikua kula miogo ya chuo na kuona Mambo fresh now days Wana watu wanawategemea
 
Hata nchi ikiteketea,ww ukiachia demokrasia tu ,tutaimba sifa zako....
 
Mafuta ya taa mlipandisha ili msambaze umeme hayajashuka mmeondoa tarifu ziro wote walipe Bei kubwa hata wale wenye matumizi chini ya unit 75 kwa mwezi ili pia msambaze umeme.nimeishia kucheka tu hasara tuliyonayo Kama taifa tuna viongozi ambao Wana akili ya ujambazi tu. Anyang'anye Leo kesho akanyang'anye tena.
 
Jakaya anayo roho ya utu na hakukulia kwenye shida.
Hakuna kiongoz wa ccm mwenye umri wa kikwete ambaye haja kulia kwenye shida hukimtoa Lowasa wote njaaa tu ndiyo maana kila kukicha kutembea Kwa watu tu, siku zote ukiwa na njaa kwenye familia yako halaf Una ndugu wenye uwezo kaa ukijua kila siku watoto wako watakuwa wanaenda Kwa ndugu zako kwenda kusalimia.
 
Umeandika ushuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…