Ifike Mahali tumheshimu Jakaya

Sijawahi kumvunjia heshima Mzee Jakaya Kikwete na bado ninaamini kuwa alikuwa Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Jamhuri hii ya Muungano
 
Kuelewa uozo wa JK na umahiri wa JPM na sasa SSH unahitaji elimu ya juu kabisa. Usipoelewa utahisi unajua!
 
Endeleeni kumsifia sifia mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo. Jamaa anakula mgao wa IPTL kila siku milioni 450 narudia kila siku. Gesi kauza. Mitanzania sisi sijui tukoje.
Inaonekana unachuki sana na JK
 
Mambo gani yalienda au haukwepo tanzania
Lakin kwenye utawala mambo yalienda vema kuliko hata hawa ambao sio mafisadi mkuu, ndo hapa tunajiuliza, kwa ufisadi ule aliwezaje kupeleka mambo vile?
 
Baada ya Nyerere kipenzi ni Kikwete!!!! The least fisadi after Nyerere ni Kikwete!!
Alijiamini!!
Hawa wa sasa hawajiamini!!!
Kwani kama unajiamini kwa nini uogope katiba Mpya??? Na wataogopa mpaka lini??!
Kikwete naye aliibwaga nusu kwa ajili ya ushauri mbaya wa WBM!!
Angeimaliza leo angeuwa anasifiwa sanaaaaas!!

Ila wizi mkubwa ulitokea wakati waawamu ya tatu siyo ya nne!! Lakini hawa wote wa 3&4 walikuwa mademocrats!!!
Mungu awajalie!!!
 
Yes , Kwa kutuletea Katiba mpya, kwa kutuletea Mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…