Jelamashele
Senior Member
- Nov 12, 2022
- 120
- 53
Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO.
Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu.
Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila watu wake Wana dini. Ni sahihi. Ila sio sahihi sana kuwa serikali ina Mungu ingawa watu wanaweza tofautiana ni mungu yupo.
Anyway ukiangalia vizuri ukomunist Wanayo dini na Wana Mungu. Ila sio Mungu anayeeleweka wajamaaa.
Ukiangalia katiba za kikomunist technically mwenyekiti wa chama tawala ndiye mungu. _
-Kapewa mamlaka yote ya kugawa risiki,
-kuamua hatuna ya kila mtu,
-jina lake halitajwi hivyo kama sio sifa,
Kaja Darwin na wengine. Ila hawajaweza kufanikiwa. Kuna jamaa mmoja ana Bart Herman msomi na mkosoaji makubwa wa Biblia. Kashirikia sana katika vitabu na hata sinema za kupinga Ukristu aduikubwa wa wajamaa na mifumo ya kidicteta duniani. Ni mshauri mkubwa wa kitabu na sinema ya d Vinci code.
Katika kipindi chake cha cha The Holy Season. Dstv pia walikuwa wakirusha.
Alisema wamejitahidi saa kukusanya ushahidi dhidi ya Imani ya Ukristu. Mara zote wakiwa wanaamini Wana ushahidi wa kutosha Sana kubomoa Ukristu. Anatole mtu mpuuzi tuu(kaita idiot) anakuja kupangua hoja kirahisi sana kama hawajafanya kitu.
Ni kipindi Tanzania isemwe rasmi ujamaa tulikosea njia na ni mifumo haramu. Watoto waanze kusema vitu vua maana na vyenye ukweli.
Mifumo ya ujamaa haijali uhai wala Mali. Kiasilia Mungu wao hajawqhi umbra na wenyewe zaidi ya kula Kodi za watu hawqjawahi ongeza utajiri wa nchi wala watu.
Matendo Yao no ya wivu na unaopelekea jaribu zaidi.

- kauli yake siku zote ni sahihi.
- Sifa zotena ukuu ni zake katika taifa.