Jelamashele
Senior Member
- Nov 12, 2022
- 120
- 53
- Thread starter
- #21
Kuna wapo narrow minded wanaweza ongea ujinga mbele ya wenzao wakapeana support za kijinga.
Wakisikia wakatoliki Wana deal na mapadri washenzi wanapiga nyundo...sijui hawajaona ndio maana. Hadi walokole na wapenda wake wengi.
Cha kushangaza walokole NAO Wana kashfa Ila vikanisa vyao sio habari.
Waislam Wana wake 4 Ila kuna case za ulawiti ubakaji . Askari wa kirusi walevi na wabakaji jambo lipo kwa watu wote duniani tofauti ni usiri.
Jambo dhahiri ni kwamba tatizo no la kibidanu sio idadi ya wake au make mzuri au kutokuoa. Ila Imani moja tuu ndio inashambuliwa.