Jelamashele
Senior Member
- Nov 12, 2022
- 120
- 53
- Thread starter
-
- #21
Nitakupa hata forever halafu nione km utatoka hapo. Na hilo swags la spiritialityKwenye discussions kama hizi, ukianza kutoa vicomment vya dharau, unakuwa hauna tofauti na hicho unachojaribu ku oppose wewe.... soma vizuri comment zangu za awali utaona ulichoandika hapa ni sawa na nilichokueleza. Sasa sjui kama unasoma au unataka tu kubishana.
Oh! Hata ni kama haujui spirituality ni nini maskini ya Mungu. Hiyo topic ya spirits nyingi, nani kakuuliza ziko ngapi?
Nikuambie kitu. Nikikupa forever itakuwa hapa hapa. Nikuletee defition ya spirituality uone jinsi unajidanganya. Utarudi ktk habari zile zile ambazo zipo makundi mawili kinyume na dini na kuwa na dini.Kwenye discussions kama hizi, ukianza kutoa vicomment vya dharau, unakuwa hauna tofauti na hicho unachojaribu ku oppose wewe.... soma vizuri comment zangu za awali utaona ulichoandika hapa ni sawa na nilichokueleza. Sasa sjui kama unasoma au unataka tu kubishana.
Oh! Hata ni kama haujui spirituality ni nini maskini ya Mungu. Hiyo topic ya spirits nyingi, nani kakuuliza ziko ngapi?
Kasome some kwanza na ufanyie utafiti hizi mada zako maanake hata kudebate kwa pointi hujui...ni ubishi tu.Nitakupa hata forever halafu nione km utatoka hapo. Na hilo swags la spiritiality
Ongea unachojua Acha ukauzu. Nikakusome ktk ubishi wako? Umejidai hapa kuwa mjuajia sasa. Inaniambia nikasome kitu hujui. Nani wa kusumbulia kikauzu? Naweza soma nisione unachosema na isiwe honest brought ku admit ukahamisha magoliKasome some kwanza na ufanyie utafiti hizi mada zako maanake hata kudebate kwa pointi hujui...ni ubishi tu.
This is exactly what i was talking about. Sasa hapa umeandika nini cha maana?Ongea unachojua Acha ukauzu. Nikakusome ktk ubishi wako?
Even worse! Nini hii jameni.Ongea unachojua Acha ukauzu. Nikakusome ktk ubishi wako? Umejidai hapa kuwa mjuajia sasa. Inaniambia nikasome kitu hujui. Nani wa kusumbulia kikauzu? Naweza soma nisione unachosema na isiwe honest brought ku admit ukahamisha magoli
Wewe Una point gani nikupe forever. Kasoma maana ya and hominem... Utaona jinsi watu wasiojitambua au wanaojua hawana hoja wanavyoamua kuhamia kushambulia mtu na vionja ili kumshusha mtu mbele ya watu waqche kuangalia hoja seriously.Kasome some kwanza na ufanyie utafiti hizi mada zako maanake hata kudebate kwa pointi hujui...ni ubishi tu.
Unajifanya kichaa.. jioni cha kujibu. Sikuachi kauzu wewe. Unaita mob...typing issue sio ya ku capitalise. Unaweza uliza tuu.Even worse! Nini hii jameni.
Wtf? This is exactly unachofanya wewe. Na ndio umeanza kutoa vicomment vya dharau badala ya kujibu kwa hoja....mpaka sasa hivi hujajibu kwa hoja. Unachofanya sasa hivi wanasaikolojia wanakiita "projection".Wewe Una point gani nikupe forever. Kasoma maana ya and hominem... Utaona jinsi watu wasiojitambua au wanaojua hawana hoja wanavyoamua kuhamia kushambulia mtu na vionja ili kumshusha mtu mbele ya watu waqche kuangalia hoja seriously.
Ila Mimi nakukumbusha kurudi katik hoja huku majibu. Wewe tuu ndio unajifanya wenge limekutoa katika reliWtf? This is exactly unachofanya wewe. Na ndio umeanza kutoa vicomment vya dharau badala ya kujibu kwa hoja....mpaka sasa hivi hujajibu kwa hoja. Unachofanya sasa hivi wanasaikolojia wanakiita "projection".
Sasa hichi ni nini umeandika hapa?Unajifanya kichaa.. jioni cha kujibu. Sikuachi kauzu wewe. Unaita mob...typing issue sio ya ku capitalise. Unaweza uliza tuu.
UtaumiaSasa hichi ni nini umeandika hapa?
Mbona huandiki vitu vikaeleweka? Kasoro vicomment vya dharau.Ila Mimi nakukumbusha kurudi katik hoja huku majibu. Wewe tuu ndio unajifanya wenge limekutoa katika reli
Haya bana, naona tunapotezeana muda tu hapa.Utaumia