Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Naomba niende kwenye hoja. Watu wenye ulemavu Wana Hali mbaya linapokuja suala la upatikanaji na kutumia huduma za jamii.

Mfano mdogo Sana kwenye daladala wanahali mbaya sana. Utashangaa unapokutana na kondakta kichaa.... Huduma ya usafiri kwenye majiji iondokane na matumizi ya mabasi yenye makondakta..uendeshaji wa DART (mwendokasi) ni mfano mwema ingawa utaratibu wa card wameubaka. Ilistahili matumizi ya card ya kampuni isaidie.

Serikali yetu kama ilivyowaondoa wafanyabiashara barabarani..ituindolee makondakta na wapiga debe kisayansi Kwa kuanzisha/ kuruhusu makampuni yaanzishe mabasi ya usarishaji majijini
 
Back
Top Bottom