Ifike wakati haya mashirika yetu ya nyumba yaanze kununua maeneo ambayo ni prime kwenye miji yetu

GANJIBHAAI

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
456
Reaction score
1,352
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?

Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence acquire Land kwa matumizi mengine baadae.
 
Ina maana thread yangu haina maana ndo maana sipati wachangiaji ama?!😀🐒
 
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?

Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence acquire Land kwa matumizi mengine baadae.
Watatusaidia sana sisi watu wengi wa mishemishe mjini kati
 
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?

Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence acquire Land kwa matumizi mengine baadae.
Ungeweka uzi wa ngono ndo wangejaa
 
Natambua kbs Dar es Salaam iko kwenye status ya kati ya majiji yanayotabiriwa kuwa mega city, hivi kuwa mega city ni ile size ya population uliyonayo kwa wakati huo ama ni kusambaa kwa kilomita za mraba?! Leo sitaki kwenda ku_google wala ku_AI😀 free mind 😂
 
Back
Top Bottom