GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 456
- 1,352
WanakujaIna maana thread yangu haina maana ndo maana sipati wachangiaji ama?!ππ
Mkuu uko na mfano?!
Watatusaidia sana sisi watu wengi wa mishemishe mjini katiKwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?
Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence acquire Land kwa matumizi mengine baadae.
Wazo zuriIna maana thread yangu haina maana ndo maana sipati wachangiaji ama?!ππ
Ungeweka uzi wa ngono ndo wangejaaKwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?
Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence acquire Land kwa matumizi mengine baadae.