Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili na kuandikishwa kama vyama vya kisasa, badala kuwepo na mipaka ya kiutaratibu maalumu juu ya wanasiasa na hoja zinazopaswa kujadiliwa wakiwa ndani ya vyama vyao baada tu ya kupata usajili, ifike mahala tuwe na mipaka, ifike pahala wanasiasa, wajadili zaidi juu ya hali bora za watanzania, kilimo bora, elimu bora, huduma bora za wafanyakazi, rushwa na ya aina hiyo!
-Maswala ya muungano yawe yakijadiliwa na kamati maalumu pekee itakayokuwa inajumuisha wajumbe maalumu toka bara na zanzibar! -
Na si suala la kujadiliwa hovyo hovyo! Pawepo na Senate yake maalumu yenye mamlaka hayo!
-Wenye madukuduku yao watakuwa wanayawakilisha kwenye Senate hiyo, kwa barua!