Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
We k kauli hiyo kaiongee Tarime kama haujakeketwaLISU hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We k kauli hiyo kaiongee Tarime kama haujakeketwaLISU hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10
Orodhesha changamoto zake hapo chini ⏬Ni upuuzi wa kiwango cha sgr Kwa kuzuia watu wasiseme changamoto ya huu Muungano ambao ni kichaa pekee asiyeweza kuziona changamoto zake lukuki.
Hao sisimizi Lissu, Jussa hakuna kitu wanaweza fanya zaidi ya kuropoka tu.Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili na kuandikishwa kama vyama vya kisasa, badala kuwepo na mipaka ya kiutaratibu maalumu juu ya wanasiasa na hoja zinazopaswa kujadiliwa wakiwa ndani ya vyama vyao baada tu ya kupata usajili, ifike mahala tuwe na mipaka, ifike pahala wanasiasa, wajadili zaidi juu ya hali bora za watanzania, kilimo bora, elimu bora, huduma bora za wafanyakazi, rushwa na ya aina hiyo!
-Maswala ya muungano yawe yakijadiliwa na kamati maalumu pekee itakayokuwa inajumuisha wajumbe maalumu toka bara na zanzibar! -
Na si suala la kujadiliwa hovyo hovyo! Pawepo na Senate yake maalumu yenye mamlaka hayo!
-Wenye madukuduku yao watakuwa wanayawakilisha kwenye Senate hiyo, kwa barua!
Ujadili wewe nani? Wewe utaishia kutawaliwa tu. Ni wapi uliona wananchi wanaamua mipaka ya nchi yao? Umezaliwa Tanzania na umeukuta muungano, utakufa na muungano utabaki.Muungano unahusu watu sasa iweje usijadiliwe? Kuna nini mnachoficha ? Au kuna siri gani ? Jibuni hoja zinazoibuliwa kama mnauona ni mzuri elezeeni hayo mazuri watu wapime wenyewe
1.mtanganyika haruhusiwi kuteuliwa Zanzibar lakini mzanzibari anaruhusiwa.mfano shaka na professor makame wameteuliwa kwenye sekta ambazo hazihusiani na Muungano.Orodhesha changamoto zake hapo chini ⏬
Huumuungano imebaki kwenye makaratasi ni swala lamuda tu, sidhani Kama wewe unajua vizuri kuliko kina Butiku, Wariobana Dr. Salim waliokuwa kwenye time ya katiba na wakapendekeza serikali tatuikiwa unatamani kuskia unachotamani au kutarajia wewe kiwe ni jambo jema, lakini si lazima wengine wafikiri hivyo pia....
usipopenda kuskia au kujua usichokipenda, hilo linabaki jambo binafsi, lakin kwenye bajeti kila kitu kimeelezwa vyema sana na kinagaubaga na tunasonga mbele vizuri sana kuhusu muungano![]()
wao ni raia, na mimi na wewe ni raia huru pia. sina haja ya kuishi kwenye maoni au mtazamo wa wegine..Huumuungano imebaki kwenye makaratasi ni swala lamuda tu, sidhani Kama wewe unajua vizuri kuliko kina Butiku, Wariobana Dr. Salim waliokuwa kwenye time ya katiba na wakapendekeza serikali tatu
Wenzako wameishi kwenye huo muungano Tena wakiwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi hiyo ndio tofauti ya wao na wewe.wao ni raia, na mimi na wewe ni raia huru pia. sina haja ya kuishi kwenye maoni au mtazamo wa wegine..
na wanachojua zaid yangu nini au kipi? ama huo Muungano haupo kwenye katiba, upo majumbani mwao 🐒
ni kipi cha kutawala humu nchini ambacho hakipo kwenye makaratasi?
au katiba unayoijua wewe ipo kwenye jagi la maji 🤣
by the way kua kwenye tume sio turufu ya kua unajua mambo zaid ya wengineo...
mimi ni kiongozi wa wanainchi, haina maana hakuna kiongozi mwenye uwezo au anae jua vitu zaid yangu. wapo, but this is my time, kwa Neema na baraka za Mungu 🐒
Hoja nzuri ila siyo rahisi- tuwaache wajadili ila tuwapuuze kama ambayo tumefanya kwa miaka 60 yote ya uhai wa muungano wetuTusipoziba ufa, tutajenga ukuta,