Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

Ni upuuzi wa kiwango cha sgr Kwa kuzuia watu wasiseme changamoto ya huu Muungano ambao ni kichaa pekee asiyeweza kuziona changamoto zake lukuki.
Orodhesha changamoto zake hapo chini ⏬
 
Hakuna haja ya senate.
Suala la muungano linahitaji kura ya maoni.
Wazanzibari wapige kudleza kama bado wanauhitaji muungano au lah.
Wabara ivo ivo.
 
Hao sisimizi Lissu, Jussa hakuna kitu wanaweza fanya zaidi ya kuropoka tu.

China pamoja na ukubwa wote ule bado inadai kuwa Taiwan, Hong-Kong na Tibet ni sehemu za nchi zao.

Wanachofanya ni kuwapa special autonomy tu. Of course autonomy ya Taiwan haiko sawa na Hong-Kong, na ya Hong-Kong nayo haiko sawa na Tibet.

Akina Lissu na Jussa wa Taiwan, Hong-Kong na Tibet wanalalamika kila siku juwa wanataka uhuru kamili. Na wanaungwa mkono na USA, UK, Germany etc.

Lakini waambie UK waiachie Scotland usikie muziki wao au USA waiachie Hawaii
 
Muungano unahusu watu sasa iweje usijadiliwe? Kuna nini mnachoficha ? Au kuna siri gani ? Jibuni hoja zinazoibuliwa kama mnauona ni mzuri elezeeni hayo mazuri watu wapime wenyewe
Ujadili wewe nani? Wewe utaishia kutawaliwa tu. Ni wapi uliona wananchi wanaamua mipaka ya nchi yao? Umezaliwa Tanzania na umeukuta muungano, utakufa na muungano utabaki.

Kama hutaki kafie mbali
 
Orodhesha changamoto zake hapo chini ⏬
1.mtanganyika haruhusiwi kuteuliwa Zanzibar lakini mzanzibari anaruhusiwa.mfano shaka na professor makame wameteuliwa kwenye sekta ambazo hazihusiani na Muungano.
1Mtanganyika haruhusiwkumiliki ardhi tofauti na mzanzibari anaruhusiwa kumiliki mahekali atakayo.
3.cha Tanganyika ni Cha wote lakini Cha Zanzibar ni Cha wazanzibar.mfano wizara ya madini ni ya Muungano lakini Zanzibar ilipogundua mafuta ikajitoa kwenye Muungano kuhusu mafuta.kwa kuanzia nimekupa hizo lakini zipo kero kama mia tatu za muungao
 
Huumuungano imebaki kwenye makaratasi ni swala lamuda tu, sidhani Kama wewe unajua vizuri kuliko kina Butiku, Wariobana Dr. Salim waliokuwa kwenye time ya katiba na wakapendekeza serikali tatu
 
Huumuungano imebaki kwenye makaratasi ni swala lamuda tu, sidhani Kama wewe unajua vizuri kuliko kina Butiku, Wariobana Dr. Salim waliokuwa kwenye time ya katiba na wakapendekeza serikali tatu
wao ni raia, na mimi na wewe ni raia huru pia. sina haja ya kuishi kwenye maoni au mtazamo wa wegine..

na wanachojua zaid yangu nini au kipi? ama huo Muungano haupo kwenye katiba, upo majumbani mwao πŸ’

ni kipi cha kutawala humu nchini ambacho hakipo kwenye makaratasi?

au katiba unayoijua wewe ipo kwenye jagi la maji 🀣

by the way kua kwenye tume sio turufu ya kua unajua mambo zaid ya wengineo...

mimi ni kiongozi wa wanainchi, haina maana hakuna kiongozi mwenye uwezo au anae jua vitu zaid yangu. wapo, but this is my time, kwa Neema na baraka za Mungu πŸ’
 
Wenzako wameishi kwenye huo muungano Tena wakiwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi hiyo ndio tofauti ya wao na wewe.
Kamamuungano wanakujua vizuri mmoja alikuwa katibu wa rais wa kwanza ambaye ni mwasisi wa muungano wakati wengine walikuwa mawaziri wakuu hivyo kwa nafasi zao wanajua zaidi Nini kinaendeles.
Je wewe kwanafasi yako unaweza kujua zaidi yao.
 
Hoja nzuri ila siyo rahisi- tuwaache wajadili ila tuwapuuze kama ambayo tumefanya kwa miaka 60 yote ya uhai wa muungano wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…