Ifike wakati Mbowe aache ukabila ona hawa Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono

PiedPiper77

Senior Member
Joined
Jan 8, 2025
Posts
146
Reaction score
196
==
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni.

Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha kuigawa CHADEMA kwa minajili ya Ukabila,

Leo CHADEMA kuelekea Uchaguzi wake mkuu wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono ni Wachaga/wapare

Jana katika press yao ya kikabila iliyofanyika usiku wa manane wakiwa wamelewa chakali,

Mambo yalikuwa hivi,

Kwanza, aliyeongoza Press alikuwa Edward Kinabo ambae ni Mchagga.

Viongozi wengine waliohudhuria Press hiyo ya usiku wa manane ya kumuunga mkono Mchaga mwenzao majina yao ni kama ifuatavyo,

  • Mungure Arusha (Mmeru)
  • Bahweje Tanga (Mpare)
  • Mgonja Kilimanjaro (Mpare)
  • Kileo Kinondoni (Mchagga)
  • Ntobi Mkoa Wa X (Tweeter)
  • Gervas Katibu Manyara (Mkaskazini)
  • Aisha Madoga - Dodoma (Mmeru)
  • Kiloloma - Temeke (Mchagga)
  • Malisa - Morogoro (Mchagga)
  • Basil Lema - Kilimanjaro (Mchagga)
  • Mungai (Mkikuyu) Iringa
  • Masaga Karoli (Mnyaki mix Mchagga) Mwanza
  • Bumija - Pwani (Mpare)
  • Moza Ally Mushi - Hana cheo (Mchagga)

Bila kuwasahaun Devota Minja, Grace Kiwelu, Suzanna Lyimo, Lucy Ndesamburo hawa wote Wachaga hoja yetu ni kwanini Mbowe Leo anaungwa mkono na Wachaga tu kwani hiki chama nicha kikabila?

Wajumbe kesho kuweni makini hiki chama kimeuzwa tayari ndio hizo mnagawiwa.

====
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu,

Ona maajabu ya Mbowe CHADEMA, Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wote wanaomuunga Freeman Mbowe Jana waliitana usiku wamanane wakiwa wamelewa chakali,

Ona hii hatari ya CHADEMA aliyeongoza Press alikuwa Edward Kinabo (Mchagga)

Viongozi wengine waliohudhuria majina yao ni kama ifuatavyo,

  • Mungure Arusha (Mmeru)
  • Bahweje Tanga (Mpare)
  • Mgonja Kilimanjaro (Mpare)
  • Kileo Kinondoni (Mchagga)
  • Ntobi Mkoa Wa X (Tweeter)
  • Gervas Katibu Manyara (Mkaskazini)
  • Aisha Madoga - Dodoma (Mmeru)
  • Kiloloma - Temeke (Mchagga)
  • Malisa - Morogoro (Mchagga)
  • Basil Lema - Kilimanjaro (Mchagga)
  • Mungai (Mkikuyu)
  • Masaga Karoli (Mnyaki mix Mchagga)
  • Bumija - Pwani (Mpare)
  • Moza Ally Mushi - Hana cheo (Mchagga)

Bila kuwasahaun Devota Minja, Grace Kiwelu, Suzanna Lyimo, Lucy Ndesamburo hawa wote Wachaga hoja yetu ni kwanini Mbowe Leo anaungwa mkono na Wachaga tu kwani hiki chama nicha kikabila?

Wajumbe kesho kuweni makini hiki chama kimeuzwa tayari ndio hizo mnagawiwa.

====
Wewe uliyeandika!
Umeelewa ulichokiandika?
 
==
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni.

Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha kuigawa CHADEMA kwa minajili ya Ukabila,

Leo CHADEMA kuelekea Uchaguzi wake mkuu wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono ni Wachaga/wapare

Jana katika press yao ya kikabila iliyofanyika usiku wa manane wakiwa wamelewa chakali,

Mambo yalikuwa hivi,

Kwanza, aliyeongoza Press alikuwa Edward Kinabo ambae ni Mchagga.

Viongozi wengine waliohudhuria Press hiyo ya usiku wa manane ya kumuunga mkono Mchaga mwenzao majina yao ni kama ifuatavyo,

  • Mungure Arusha (Mmeru)
  • Bahweje Tanga (Mpare)
  • Mgonja Kilimanjaro (Mpare)
  • Kileo Kinondoni (Mchagga)
  • Ntobi Mkoa Wa X (Tweeter)
  • Gervas Katibu Manyara (Mkaskazini)
  • Aisha Madoga - Dodoma (Mmeru)
  • Kiloloma - Temeke (Mchagga)
  • Malisa - Morogoro (Mchagga)
  • Basil Lema - Kilimanjaro (Mchagga)
  • Mungai (Mkikuyu) Iringa
  • Masaga Karoli (Mnyaki mix Mchagga) Mwanza
  • Bumija - Pwani (Mpare)
  • Moza Ally Mushi - Hana cheo (Mchagga)

Bila kuwasahaun Devota Minja, Grace Kiwelu, Suzanna Lyimo, Lucy Ndesamburo hawa wote Wachaga hoja yetu ni kwanini Mbowe Leo anaungwa mkono na Wachaga tu kwani hiki chama nicha kikabila?

Wajumbe kesho kuweni makini hiki chama kimeuzwa tayari ndio hizo mnagawiwa.

====
Umewahi kufuatilia wapemba waliojazana katika ajira huku Tanganyika au umekariri ujinga wa Lissu na genge lake la wahuni.
 
Ni lini CHADEMA iliwahi kujitofautishana ukabila? Hata huu mnyukano ni kujaribu kuitoa CHADEMA kwenye ukabila
 
==
Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni.

Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha kuigawa CHADEMA kwa minajili ya Ukabila,

Leo CHADEMA kuelekea Uchaguzi wake mkuu wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono ni Wachaga/wapare

Jana katika press yao ya kikabila iliyofanyika usiku wa manane wakiwa wamelewa chakali,

Mambo yalikuwa hivi,

Kwanza, aliyeongoza Press alikuwa Edward Kinabo ambae ni Mchagga.

Viongozi wengine waliohudhuria Press hiyo ya usiku wa manane ya kumuunga mkono Mchaga mwenzao majina yao ni kama ifuatavyo,

  • Mungure Arusha (Mmeru)
  • Bahweje Tanga (Mpare)
  • Mgonja Kilimanjaro (Mpare)
  • Kileo Kinondoni (Mchagga)
  • Ntobi Mkoa Wa X (Tweeter)
  • Gervas Katibu Manyara (Mkaskazini)
  • Aisha Madoga - Dodoma (Mmeru)
  • Kiloloma - Temeke (Mchagga)
  • Malisa - Morogoro (Mchagga)
  • Basil Lema - Kilimanjaro (Mchagga)
  • Mungai (Mkikuyu) Iringa
  • Masaga Karoli (Mnyaki mix Mchagga) Mwanza
  • Bumija - Pwani (Mpare)
  • Moza Ally Mushi - Hana cheo (Mchagga)

Bila kuwasahaun Devota Minja, Grace Kiwelu, Suzanna Lyimo, Lucy Ndesamburo hawa wote Wachaga hoja yetu ni kwanini Mbowe Leo anaungwa mkono na Wachaga tu kwani hiki chama nicha kikabila?

Wajumbe kesho kuweni makini hiki chama kimeuzwa tayari ndio hizo mnagawiwa.

====
Mbowe ni Mkabila sana
 
====mbona haungwi mkono na makabila mengine?
mbona lema hamuungi mkono?
 
Back
Top Bottom