Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada,
Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika.,
Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake.
Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la matukio haya, bila ya kujua mzizi wa neno upo wapi.
Mahakama zetu zimekuwa za kutoa hukumu na hukumu ambazo haziendani na alama za nyakati.
Bado Hakama haijabadilika bado Hakama haijui kuwa wadada wanafanya ngono kama biashara
Ikitokea akapata changamoto katika biashara yake moja kwa moja sheria zetu inafanya kuwa JINAI, hii si sawa hii iwe upande wa MADAI
Na kinachonisikitisha zaidi imekuwa ikitoa hukumu kwa kupindua shitaka.
Utaona shitaka lingine hukumu inatoka vingine.
Hakama pia inapaswa iwe na madaraja ya hizi kesi za ubakaji za upande wa (VIDEO MJONGEO)
Kwenye kusikiliza kesi zinazohusu (VIDEO MJONGEO) moja kwa moja nchi yetu bado. Na tunapaswa kujitafakali sana.
Maana kuhukumu kesi za video mjongeo inahitaji uwe mbali kiteknolojia na sio kizania.
Mwisho nimalizie tu kuwa
Nchi yetu tumewapa kipaumbele wanawake na sheria na kuwalinda sana, ila hawa wa kileo wanaofanya NGONO ndio biashara yao sio wanawake tunaowajua, na tuliokuwa tukiwalinda kwa miaka mingi.
Ushauri wangu katika kesi za namna hizi,
Ni vyema kwanza kumtambua mtendwa na shughuli zake za kila siku kabla ya kufanya maamuzi..