Ifikie mahali Sir Pep Guardiola apewe tu heshima yake

Umechambua vizuri kasoro yako ni ulipo mfananisha pep na kikopo wa makolo
 
Hata kocha marcelo Bielsa alishawahi kunukuliwa akisema Guardiola ni kama mchawi.Ni ngumu kwa kocha mwingine kuukopi mfumo wake na ni ngumu sana kuuelewa.
 
Pep kwangu anabaki kocha bora jamaa anajua kukunjua timu tangu yuko bayern, barcelona na sasa city anajitajidi ku coach.

Sio kocha yoyote ya kukaa meza moja na pepe kwa makocha wa kisasa
Ubora wake unaendana pia na financial power. Muone Conte anavyohangaika........
 
Ubora wake unaendana pia na financial power. Muone Conte anavyohangaika........

Mbona kuna makocha walipewa financial power na hawaja improve chochote. Kwani kuna timu imetumia pesa kama man u
 
Hivi Pep ana ucl cup ngapi tangu atoke barca
 
Hivi Pep ana ucl cup ngapi tangu atoke barca
Mbona unaweka limit tangu Barcelona,Kwan klop ana CL ngapi kabla hajatua Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…