Ifikie mahali Sir Pep Guardiola apewe tu heshima yake

Ifikie mahali Sir Pep Guardiola apewe tu heshima yake

Hata kocha marcelo Bielsa alishawahi kunukuliwa akisema Guardiola ni kama mchawi.Ni ngumu kwa kocha mwingine kuukopi mfumo wake na ni ngumu sana kuuelewa.
 
Pep kwangu anabaki kocha bora jamaa anajua kukunjua timu tangu yuko bayern, barcelona na sasa city anajitajidi ku coach.

Sio kocha yoyote ya kukaa meza moja na pepe kwa makocha wa kisasa
Ubora wake unaendana pia na financial power. Muone Conte anavyohangaika........
 
Hivi Pep ana ucl cup ngapi tangu atoke barca
 
Hivi Pep ana ucl cup ngapi tangu atoke barca
Mbona unaweka limit tangu Barcelona,Kwan klop ana CL ngapi kabla hajatua Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom