Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

Kumheshimu ndio kufanya nn?? Ye aendelee kufanya kazi na alete tuzo tu Mambo ya heshima kina alikiba wanayalilia diamond heshima zinamfata
 
Sa broh promo za wcb kwa zuchu zinamkwamisha vipi mauasama? Kama kazi Ni nzuri itaonekana sioni haha ya kuja kumtetea huku kwa maelezo marefu
 
Yah ni mkali sana sana tu.
Ila ifike muda tuwe tunasifu bila kumponda mwingine maana kila mmoja wao anatafuta ugali kwa style yake anayoona itamfikisha. tunaweza kuwa na akina maua sama wengi na tukawasupport wote.
Umenena vyema kaka
 
Umesema vyema, hawa ndio wanasababisha u team
 
Katu katu,Main chick,Nakuelewa,Bounce,Kaziandika Tommy flavour... But Maua anajua kuimba sana na ana saut kinyama ila sio muandishi mkali wa ngoma..But namkubali
 
Huwa sipendi kumskiliza akiwa kwenye interview,, Anabagua maswali sometimes anajifanya hajaskia swali,,mala aweke mzaha huku presenter yuko serious na swali,
 
Umeandika pumba Sana na ndio maana hata like huna alafu unaonesha hata mziki ujui na ufuatilii
 
Itoshe kusema Maua sama sio mzuri wa sura ila ana sauti nzuri
 
Yaani umeandika maneno mengii alafu Ni utumbo tu,[emoji51][emoji51] kwahy Hilo tamasha aliliandaa zuchu peke ake? We unauhakika gani ameambulia gari tu au uliambiwa Ile gari amepewa kwaajili ya Ile show? Acha ujinga kijana usijifanye unajua maisha ya wa2 kuzidi maisha yako ww, swala la kutajwa diamond kwani hao wasanii aliwalazimisha wamtaje? Kwann rema ameshindwa kumtaja Rayvanny na amefanya nae kazi kwahy hamjui? Acha ujinga au Kama huwezi kuuacha usiuonyeahe mbele za wa2
 
Umeandika pumba Sana na ndio maana hata like huna alafu unaonesha hata mziki ujui na ufuatilii
Unajidai tu hapa ila hujijui kama zuchu ukija kujijua muda umeenda wa maisha zaidi ya nisamehe anaimba pumba nafuu hata huu wa uchaguzi hapo WCB atapoteza dira kama wewe umeshapoteza dira
 
Kuna mtu anaitwa Vanessa Mdee yuko underrated sana ila kiukweli kaipigania sana Bongo Fleva kwa njia zake mwenyewe, Japo kashakata tamaa ya kuendelea na Music. One day watamuelewa tu huyu binti.
 
Kuna ule aliimba na Ben Paul unaitwa that love. Ile ngoma ni shidah
 
Unajidai tu hapa ila hujijui kama zuchu ukija kujijua muda umeenda wa maisha zaidi ya nisamehe anaimba pumba nafuu hata huu wa uchaguzi hapo WCB atapoteza dira kama wewe umeshapoteza dira
kuandika tu shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…