Zuchu hajijui na akijijua anasauti nzuri sana
Lingine zuchu sio msani wakuimba nyimbo anazoimba sasa na daimond hamjulii kabisa kingine.
Angekuwa mchaguzi wa nyimbo zake ni Lady Jay dee basi angetoka sana angeeleweka .
Ila kwa sababu yupo na mondi na mondi watu hawamjui hatakagi watu wampite.
So soon ZUCHU ni X .
NA mtakuja kuniambia tu angalia alivyomfanya mavoko, nitarudi,wema sepetu.
Walionusurika ni hamisa mobeto,zari,tanasha.
Wengine nope hawajanusurika.
Maisha nikuwa makini unacheza kiujanja sasa ile tamasha la zuchu ,zuchu kaambulia gari seriously ni mabillioni mangapi mondi kapata .
Halafu kila msaani anayetoka nje au anayeingia ndani ya nchi anataja tu mondi,mbona sio wale ambao wamesainishwa na yeye?
Kama Rayvanny na wengine???
Maisha kila mtu anataka kupata ugali wake ila ukishaenda kwa mondi life is zero.
Harmonize aliponea tu chupu chupu .
Unasainiwa mahali halafu kimya.
Unaanza na makeke halafu zeee.
Kama huyo kijana mdogo wa juzi kimya .
Nyota zeroo.
Tuseme ukweli acha tu tuseme ni bora kuanza chini uje juu maana ukianza juu chini ukarudi ni basi