Kyamtwala
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 252
- 150
Hawa jamaa na system yao,hawakujipanga kiukweri...!nilianz kuomb kweny system...wakazngua,nkawafata zaid ya mara 3...naona wananizngua tu mpaka nkakata tamaa ya kuwafata....ila nkakaa nikawa nachunguliachngulia kila sku kweny system nkaona control number imkuja nkalipia 20,000 chap nkapata.