and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
UD wakupe wewe papiKuanzia mwaka 2040 UDOM iitwe Wanu Ameir.
Tena kabla sijafa πUD wakupe wewe papi
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Jina zuriProf Wicknell Chivayo campus
Wivu, uchawi na umaskini wa watu weusi......ni kawaida kumchukia mweusi mwenzao aliyetoka. Angekuwa mweupe kama Elon musk ingeona inagaagaa chini kwa kilioKwan huyu jamaa alikuwa hatoi misaada ,mbona mitandao ming mpaka ndani ya nchi yake wamfrahia kifo chake??
Naona wanachadema mpo katika mjadala mzito kwelikweli, au sio?πππJina zuri