IFM ingefaa ibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE

Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
To me, the most important case study ya huyu jamaa ni kuwa, #.1 siku zote kuna faida nyingi kuwa karibu na watu waarufu, high ranking politicians & government officials BUT, once wakikuona unaanza kuwa Liability ni lazima waku- Chevayo tuu! Knowing too much about them is too much for them to stomach.
#.2 Hakuna sababu ya kuondoka na watu wasiokuwa na hatia. Kama unajua fika "Kuku alikula punje 10 mwaka wa 10 kaa kinyako-vyako ili uondoke peke yako" unawaua marubani maskini hata hiyo hela yako hawaijui"
 
Wivu, uchawi na umaskini wa watu weusi......ni kawaida kumchukia mweusi mwenzao aliyetoka. Angekuwa mweupe kama Elon musk ingeona inagaagaa chini kwa kilio
Pesa zake zina walakini, shutuma za kuingilia chaguzi mbalimbali, skendo za silaha...n.k Wala sio jambo la weusi, na kuna uwezekano wanasiasa wameamua asonge mbele katumika nakujua mengi asije akawaponza
 
Amefanya jambo gani kubwa kwa Nchi yetu hadi tumpe hiyo hadhi?

Bora tungempa heshima hiyo TAL kwaajili ya kuenzi mchango wake wa mageuzi Nchini hasa kwenye nyanja za Demokrasia na Haki
TAL jina lake mpeni ukoo wenu
 
Pesa zake zina walakini, shutuma za kuingilia chaguzi mbalimbali, skendo za silaha...n.k Wala sio jambo la weusi, na kuna uwezekano wanasiasa wameamua asonge mbele katumika nakujua mengi asije akawaponza
Labda, lakini Nina mashaka Bado na watu weusi.....WACHAWI MNO ndo maana nashukuru mi sio mweusi.
 
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Hivi kwa Tanzania alikuwa akijihusisha na miradi ipi ya uwazi na manufaa kwa umma?
 
Amefanya jambo gani kubwa kwa Nchi yetu hadi tumpe hiyo hadhi?

Bora tungempa heshima hiyo TAL kwaajili ya kuenzi mchango wake wa mageuzi Nchini hasa kwenye nyanja za Demokrasia na Haki
Ningekukubalia iwapo angejua kuwa Demokrasia ni kwa wote, wenye Vyama na wasiokuwa na Vyama kama mimi! Hivyo kupigania kukubaliwa kwa mgombea binafsi katika Tanzania.
 
Safari moja huanzisha nyingine

Ndiyo maana mapambano ni juu ya katiba mpya, ambayo inaruhusu mgombea binafsi pia
 
Vyama kwa TZ, havitatufikisha popote kwa vile tofauti zao ni za kimaslahi badala ya kitikadi. Ideology ndiyo uti wa mgongo wa Vyama bus siasa. Kwetu Huwezi tanabaisha ideology ya chama chochote. Ni kupingana kwa kwenda mbele. Huyu alisema A mwingine A opposite. Hii ndiyo inafanya suala la mgombea binafsi kuwa la muhimu.
 
Ni kweli, ni muhimu hilo la mgombea binafsi

Lakini kabla ya hilo, kuwepo na mtu wa kuunganisha makundi yote

Huyo mtu ni TAL, pamoja na mapungufu yake kama binadamu lakini tunaunganishwa naye kupitia Haki
 
Kumlomba mkuu sio kazi ndogo, jamaa apewe heshima yake.
Naagiza mkoa wa Morogoro ubadilishwe jina na kuitwa Chivayo City
Kumlomba mkuu wa n...malizia. sema nini like libonge linaweza kumlomba au anaigusisha tu!
 
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Uchawa
 
Back
Top Bottom