Kwan huyu jamaa alikuwa hatoi misaada ,mbona mitandao ming mpaka ndani ya nchi yake wamfrahia kifo chake??
Tapeli anatoaje misaada?
Kwan huyu jamaa alikuwa hatoi misaada ,mbona mitandao ming mpaka ndani ya nchi yake wamfrahia kifo chake??
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Kuanzia mwaka 2040 UDOM iitwe Wanu Ameir.
Kumlomba mkuu sio kazi ndogo, jamaa apewe heshima yake.
Naagiza mkoa wa Morogoro ubadilishwe jina na kuitwa Chivayo City
Wivu, uchawi na umaskini wa watu weusi......ni kawaida kumchukia mweusi mwenzao aliyetoka. Angekuwa mweupe kama Elon musk ingeona inagaagaa chini kwa kilio
kilima njaro inamaana gani????????????????????????????????Air Tanzania andaeni ndege tukazike hakikisheni Pascal Mayalla hakosi kwenye list ya kwenda Kuzika.
Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
Legacy ipi kwa IFM?Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr