Hata huyo mgombea binafsi akija watanzania Huwa wanapigia kura chama.Vyama kwa TZ, havitatufikisha popote kwa vile tofauti zao ni za kimaslahi badala ya kitikadi. Ideology ndiyo uti wa mgongo wa Vyama bus siasa. Kwetu Huwezi tanabaisha ideology ya chama chochote. Ni kupingana kwa kwenda mbele. Huyu alisema A mwingine A opposite. Hii ndiyo inafanya suala la mgombea binafsi kuwa la muhimu.
Kwa Nini wewe usipiganie? Mpaka Lissu? Pia kumbuka Lissu anapigania Katiba Mpya ambako ndani yake Kuna mgombea binafsi. Shida sisi watanzania tunaka mtu Mmoja apambanie mambo yetu wakati sisi tumelala ndani. Huyo huyo yupo mahabusu, huyo huyo apambanie mgombea binafsi, etc. sio fair.Ningekukubalia iwapo angejua kuwa Demokrasia ni kwa wote, wenye Vyama na wasiokuwa na Vyama kama mimi! Hivyo kupigania kukubaliwa kwa mgombea binafsi katika Tanzania.
Wapenzi wa Mama ni wapenzi wa state?Yes kipenzi cha mama
Ushangae sasaHivi kwa Tanzania alikuwa akijihusisha na miradi ipi ya uwazi na manufaa kwa umma?
Weka uchaguzi huru na katiba nzuri uje useme watanzania wanapigia kura chamaHata huyo mgombea binafsi akija watanzania Huwa wanapigia kura chama.
Nitakosaje!Air Tanzania andaeni ndege tukazike hakikisheni Pascal Mayalla hakosi kwenye list ya kwenda Kuzika.
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Kura ni choice ya mtu!Hata huyo mgombea binafsi akija watanzania Huwa wanapigia kura chama.
Sijawahi msikia akiongelea hilo. Hata katiba hii ya hovyo inaakisi Mgombea Huru isipokuwa Serikali ndiyo inakataaKwa Nini wewe usipiganie? Mpaka Lissu? Pia kumbuka Lissu anapigania Katiba Mpya ambako ndani yake Kuna mgombea binafsi. Shida sisi watanzania tunaka mtu Mmoja apambanie mambo yetu wakati sisi tumelala ndani. Huyo huyo yupo mahabusu, huyo huyo apambanie mgombea binafsi, etc. sio fair.
Iwe mfano Kwa wapuuzi wote kama wewe,Wivu, uchawi na umaskini wa watu weusi......ni kawaida kumchukia mweusi mwenzao aliyetoka. Angekuwa mweupe kama Elon musk ingeona inagaagaa chini kwa kilio
Kugusisha na kulomba ndo huko huko, cha msingi dyudyu imeingia.Kumlomba mkuu wa n...malizia. sema nini like libonge linaweza kumlomba au anaigusisha tu!
Bora Ruto alimuendesha, wakwetu ndio alifanya aibu zaidi
Rutto kamuendesha kwenye Gari Chivayo
Tukio lile ingekuwa ni kwetu Tanzania
Basi MANYUMBU
wangekanyagana
Wakutosha
Chuki zao wameziamishia kwa Wageni wa Kiongozi wetu!!
Sasa Mshangao na Father Kitima wanasaau ni Mgeni pia wa Kiongozi wetu
Jaji Warioba nayeye ni mgeni pale Ikulu
Mwabukusi pia ni Mgeni
Project zao za Upumbavu
wa Samia must go Aleluyaaaaa
kuja Kwenye kuwachukia Wageni w Kiongozi
wetu!!
Michadema wataendelea kuchambia Majani
ya michongoma!!!!
Awana ajenda yoyote zaidi ya Uchawi uchawi tu.
kuku wawapi mtu ka hustle na kukaa jela kabla ya kuanza kuwin tender za serikali na kuwa na wawekezaji wakuuTo me, the most important case study ya huyu jamaa ni kuwa, #.1 siku zote kuna faida nyingi kuwa karibu na watu waarufu, high ranking politicians & government officials BUT, once wakikuona unaanza kuwa Liability ni lazima waku- Chevayo tuu! Knowing too much about them is too much for them to stomach.
#.2 Hakuna sababu ya kuondoka na watu wasiokuwa na hatia. Kama unajua fika "Kuku alikula punje 10 mwaka wa 10 kaa kinyako-vyako ili uondoke peke yako" unawaua marubani maskini hata hiyo hela yako hawaijui"