paul kitereja
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 260
- 45
safi kaka mkubwa umetisha sanah..ifm hakiwez kuwa chuo!! watu wako pale ki-fashion zaid na wala sio kusoma!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajabiri habari za siku nyingi mkuu,lakini nasikia siku hizi hakitoi hizo A-Diploma AU ULIMAANISHA NINI MKUU
This is the world where everyone claim to be speaking the truth.
"mtaani ndio kipimo cha usomi wako"
Hapo kwenye red kuna tatizo sana... Hii inatoa " reflection" halisi ya jinsi ulivyo tatizo kuzidi hata hiyo IFM uliyoifanya mada na kuileta jamvini.. Edit post yako vema halafu urudi jamvini .....jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!