IFM the best place to be...Wale mliochaguliwa IFM someni hapa.

Kigamboni kwa sasa hali ni shwari baada ya wanafunzi kuandamana mkuu.
 
mm dar mwenyeji sana kwahyo nakujua vizuri sana,au una hosteli yako pale kigamboni unawapigia debe pale,bado nawaasa madogo wa first year kuwa kigamboni ni sehemu hatari sana kwa wanachuo especially IFM,so kuna mitaa mingi sana DSM
 
yawezekana ikawa shwari au si shwari but chamuhimu ni kufanya utafiti kabla ya kuamua ni sehemu gani ni safe kwako na mali zako....
 
mm dar mwenyeji sana kwahyo nakujua vizuri sana,au una hosteli yako pale kigamboni unawapigia debe pale,bado nawaasa madogo wa first year kuwa kigamboni ni sehemu hatari sana kwa wanachuo especially IFM,so kuna mitaa mingi sana DSM

Sina hostel bali na mimi ni mkazi wa Kigamboni, hali ni kweli haikuwa shwari ila kwa sasa hali ni shwari baada ya kuwepo na ulinzi shirikishi, Kijana inaonesha unapenda league kweli..anyway nlikua najaribu kuwaelezea first year maeneo ambayo wanaweza kuishi that's why sijataja kigamboni pekeyake..PIECE!:thumbup:
 
umesahau IFM ndo chuo pekee kuna kuREPEAT A YEAR ukishindwa kusapua CORE subject so 1st year be careful
 
If that is the case, efforts should be made to transform it into an unusual act as it stands !!

Lecturers have students' academic life on the palm of their hands that's why they do whatever they like...it's so tragic.
 
Wewe jamaa nimekufuatilia kwa muda mrefu sana....yaani unapenda mabishano ya chuo vibaya mno,kichwani mwako unafikiri udsm ndo kila kitu...jipange sana wewe boya huu si muda wa kushindania ujinga
 
utakoma kama hukuchaguliwa UD,boya mwenyewe mm nmejipanga vizuri sana tofauti unavyofikiria
 
"lecturers wanajisevia.." hii kitu ni very serious! how extent is this issue??

Pengine huko nyuma yaani zamani; siku hizi huo mchezo haupo tena kwani Governing Council ya sasa ni wakali kweli kweli kuhusiana na utovu wa nidhamu huo!! Mwalimu mmoja kisha fukuzwa kazi!!!
 
Ngoja baada ya miaka 4 ndo tutajua nani kasoma chuo bora, nyi mnadhani chuo ndo kinakupa maisha bora
 
mm dar mwenyeji sana kwahyo nakujua vizuri sana,au una hosteli yako pale kigamboni unawapigia debe pale,bado nawaasa madogo wa first year kuwa kigamboni ni sehemu hatari sana kwa wanachuo especially IFM,so kuna mitaa mingi sana DSM

kaka naomba unitajie walau sehem mbili tofauti na KIGAMBONI ambazo naweza kupata hosteli zenye usalama.
 
Ngoja baada ya miaka 4 ndo tutajua nani kasoma chuo bora, nyi mnadhani chuo ndo kinakupa maisha bora

Kaka hawa watu mi nawaangalia,ipo siku wataelewa tu kuwa wanaongeaa pumba
 
Nilibahatika kusoma chuo cha mahakama wakati nipo pale tulikuwa tumawadisa sana watu waliokuwa wanasoma vyuo vyengine kwa ngazi ya diploma na cheti

Tulijiona sisi ndio bora kuliko wengine, nilipomaliza ndio nikaja kugundua hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya chuo ulichosoma na upatikanaji wa ajira
 
Lecturers have students' academic life on the palm of their hands that's why they do whatever they like...it's so tragic.
tremendous tragedy indeed! only at IFM I think! is it not??
 
Pengine huko nyuma yaani zamani; siku hizi huo mchezo haupo tena kwani Governing Council ya sasa ni wakali kweli kweli kuhusiana na utovu wa nidhamu huo!! Mwalimu mmoja kisha fukuzwa kazi!!!
That is good news! inawezekana bado utakuwepo lakini ule wa hali ya chini.. hii ni mbaya sana, sasa mwalim akitembea na mwanafunzi anataka aitwe nani "mwalim au honey" !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…