IFM the best place to be...Wale mliochaguliwa IFM someni hapa.

Vyema mwakumbushe pia ndo chuo kinachoongoza kwa UKIMWI
 
That is good news! inawezekana bado utakuwepo lakini ule wa hali ya chini.. hii ni mbaya sana, sasa mwalim akitembea na mwanafunzi anataka aitwe nani "mwalim au honey" !!!!

The important thing kama kuna mwalimu kafukuzwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia then the message has been sent na hao walimu itabidi wajiheshimu!!!
 

Safi sana uwape darasa hawa watu......wengi wao wanajiita wasomi ila hawajaelimika....namna hii watashindwa hata kuendesha familia zao vizuri sababu ya dharau na majivuno yao
 
Wewe unasoma DUCE wewe,ingekua main campus we mbwa tungekoma humu ndani na Baed yako ---- ww

hahaaaaaa,nani anasoma Baed ww dogo pale DUCE,au umeona nmecomment sehemu ya DUCE,unajua ngoja nkwambie dogo kuwa mm najua UD vizuri pamoja na matawi yake(DUCE$MUCE) so kila eneo lililotajwa hapo lazima nicomment kwa sababu vitu vyote vinavyoendeshwa main campus ni sawa na DUCE na MUCE,afu naomba nitake radhi kuwa mm nasoma Baed pale DUCE,dogo ukikua utaacha ujinga wako
 

Wewe ni kilaza+....huna cha kunambia wewe boya wa DUCE
 
 
 
 
Jamanii, nyinyi watu wa Duce mnafatanini, au hamjaisoma title vizuri? Humu kuna wausu wana IFM tu. So acheni tabia za wanataarabu nyinyi... Au nenden mombasa coz ndo panawafaa
 
Acha utoto wewe! ukimwi na chuo vinahusiana nini? cha msingi ni kufuata kilicho kuleta mjini tu, mengine waachie wenyeji! degree ya IFM sio mchezo!
 
sorry mkuu, hivi upo kidato cha ngapi? maana inaoneka kuwa akili yako ipo very limited kunyumbua mambo. kwanza hujui halafu hujui kama hujui, mbaya zaidi unadanganya watu. ifm bado ni chuo bora tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…