Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyema mwakumbushe pia ndo chuo kinachoongoza kwa UKIMWI
That is good news! inawezekana bado utakuwepo lakini ule wa hali ya chini.. hii ni mbaya sana, sasa mwalim akitembea na mwanafunzi anataka aitwe nani "mwalim au honey" !!!!
Sidhan kama ifm ni chuo kikuu me nadhan ni institution tu
Nilibahatika kusoma chuo cha mahakama wakati nipo pale tulikuwa tumawadisa sana watu waliokuwa wanasoma vyuo vyengine kwa ngazi ya diploma na cheti
Tulijiona sisi ndio bora kuliko wengine, nilipomaliza ndio nikaja kugundua hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya chuo ulichosoma na upatikanaji wa ajira
Wewe unasoma DUCE wewe,ingekua main campus we mbwa tungekoma humu ndani na Baed yako ---- ww
hahaaaaaa,nani anasoma Baed ww dogo pale DUCE,au umeona nmecomment sehemu ya DUCE,unajua ngoja nkwambie dogo kuwa mm najua UD vizuri pamoja na matawi yake(DUCE$MUCE) so kila eneo lililotajwa hapo lazima nicomment kwa sababu vitu vyote vinavyoendeshwa main campus ni sawa na DUCE na MUCE,afu naomba nitake radhi kuwa mm nasoma Baed pale DUCE,dogo ukikua utaacha ujinga wako
Wewe ni kilaza+....huna cha kunambia wewe boya wa DUCE[/QUOTE ndo maana unasoma chuo cha warembo,hapo IFM asilimia kubwa wanapiga mademu wetu wakali,hasa nashangaa unavyonisongasonga kama mwanamke,shut your mouth,nahisi unatabia za kike,ukikua utaacha ww dogo,kama ningekuwa kilaza nisingechaguliwa UDSM,ila ww ndo kilaza ndo maana umechaguliwa IFM chuo cha warembo waliopata matokea mabaya sana ya necta,so jiheshimu,ukinijbu tu nahisi nitakuwa bwana wako,na ukinyamaza kimya utakuwa umeniogopa.

Wajameni punguzeni jazba sie sote ni Watanzania ya nini kulumbana.
Wewe ni kilaza+....huna cha kunambia wewe boya wa DUCE[/QUOTE ndo maana unasoma chuo cha warembo,hapo IFM asilimia kubwa wanapiga mademu wetu wakali,hasa nashangaa unavyonisongasonga kama mwanamke,shut your mouth,nahisi unatabia za kike,ukikua utaacha ww dogo,kama ningekuwa kilaza nisingechaguliwa UDSM,ila ww ndo kilaza ndo maana umechaguliwa IFM chuo cha warembo waliopata matokea mabaya sana ya necta,so jiheshimu,ukinijbu tu nahisi nitakuwa bwana wako,na ukinyamaza kimya utakuwa umeniogopa.
Ni hatari sana mwanaume kuongea mipasho aseee....usikariri ww IFM nimeichagua mwenyew na nimeipenda...wewe ukiwa na mademu zako ifm mi iyo hainihusu kilaza wewe pale naenda kutia kitabu tu hayo mambo ya kis.enge ki.senge mi usinambie WAKI ww
Upo sahihi, sasa unataka kusema nini?