Kama kweli umemaliza na uko kazini naomba unijibu!!! IFM ni chuo kikuu au ni TAASISI??
degree za papuchi kwa wadada & degree za umateumate kwa wakaka. tehtehteteh!!
Daah huyu jamaa ndie alienifanya nipende na kufaulu business law miaka ya 2005, ni bonge la mwalimu nadhani tanzania hakuna kwa upeo wangu.
huu ndio moja ya ujinga wako toka nimekuona humu jf .yaani idiotic mind never change its like a pig in the pitkama kweli umemaliza na uko kazini naomba unijibu!!! Ifm ni chuo kikuu au ni taasisi??
wewe unaesemaa ni bora tz kwa maoni yako,,,,,wewe utakuwa mwaka wa 1 kama sio mwanafunzi wa cheti a.k.a certificate!! me nyie nawaitaga "CHUO KITAMU"
hii kweli kabisa mkuu.kibaya chajiuza ,kizuri chatuliasasa mbona elimu yako haijakusaidia..? mambo ya kusifia chuo ni ya ki-zamani, badilika kijana! wewe ulishawahi kusikia watu waliosoma HAVARD UNIVERSITY wanakisifia chuo chao kwenye social networks? acha ujinga wewe,
hii kweli kabisa mkuu.kibaya chajiuza ,kizuri chatulia
hahahaanadai chuo chake kizuri eti na watu wa MZUMBE, UDSM na SUA watasemaje sasa?
Usibonge kabla haujajipanga utachekwa...... hebu google uangalie rank za vyuo bora kwa sasa Halafu uniambie MIT ni cha ngapi? NB:MIT sio university ni instituteOk,kumbe bado ni institute nilidhani kishakuwa university,kwi kwi kwi kwi kwi..............!
Usibonge kabla haujajipanga utachekwa...... hebu google uangalie rank za vyuo bora kwa sasa Halafu uniambie MIT ni cha ngapi? NB:MIT sio university ni institute
kuna jamaa walinifundisha enzi hizo sijui kama bado wapo anaitwa jeremiah kimpong NGUMA aka mwananchi,jamaa alikuwa anapiga auditing alikuwa kameza kitabu cha milchamp chote,
then kuna jamaa alikuwa anapiga business mathematics mr abdu na accountant gullu in tanzania mr lyanga(mhasibu consultancy)
enzi hizoooooo! Advance diploma in accountacy ya IFM inakimbiza hatari
hivi ifm si ndipo wanaendaga failures?