lenpel
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 253
- 165
Kama kweli umemaliza na uko kazini naomba unijibu!!! IFM ni chuo kikuu au ni TAASISI??
Chuo kikuu chochote ni taasisi kama taasisi nyingine za serikali sema yenyewe inajishuhulisha na elimu; sijui unamaana gani kusema IFM ni chuo kikuu au taasisi!?