Mzawa wa Miko
New Member
- Nov 28, 2020
- 2
- 0
Siyo IFM ni jamii yetu inaendekeza hii tabia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakuomba PMSent
Umeandika kwa upole,unyenyekevu na kubembeleza sana[emoji16]Uzi hauna ushahidi huu ndg yangu..Weka hiyo Video tuone.
Nirushie na Mimi nijionee hii dhambi ili tusikitike woteYule dogo kama hawajamchana sijui aisee! Yesu Arudi tu kwa kweli.
Mnooo....Hakika wanaume tumebaki wachache. Kumbe nilicheza kama pele watoto wangu baada ya kumaliza form four wote niliwapeleka JKT na namshukuru Mungu sasa wanalitumikia Taifa katika vyombo vya ulinzi na usalama huko baadhi wameoa na wamejiendeleza wenyewe.
Zamani ilikuwa huwezi kuta chuoni kuna watoto wa miaka 18 na 21 sasa hivi watoto wamejaa huko na tamaa zao za maisha zinapelekea kugawa makalio kwa wanaume wengine.
Inasikitisha sana