Hakika wanaume tumebaki wachache. Kumbe nilicheza kama pele watoto wangu baada ya kumaliza form four wote niliwapeleka JKT na namshukuru Mungu sasa wanalitumikia Taifa katika vyombo vya ulinzi na usalama huko baadhi wameoa na wamejiendeleza wenyewe.
Zamani ilikuwa huwezi kuta chuoni kuna watoto wa miaka 18 na 21 sasa hivi watoto wamejaa huko na tamaa zao za maisha zinapelekea kugawa makalio kwa wanaume wengine.
Inasikitisha sana