hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
majamaa wadananda ile mbaya ...aiseee..kama huyo Steve na le mtumbo ....watu wa njaa haoWadananda nao huwa hawachezi mbali kwenye hivi vituView attachment 783855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majamaa wadananda ile mbaya ...aiseee..kama huyo Steve na le mtumbo ....watu wa njaa haoWadananda nao huwa hawachezi mbali kwenye hivi vituView attachment 783855
Ni siri ya Mungu mwenyewe na nia za hao wafutarishaji...though inasisitiza kuwafutarisha walio masikini/fukara..ila hao waalikwa takribani woote ni watu wanaojiweza sana kimaisha.Hivi hapo wcb walichofanya wanapata maswawabu??
hahaa mbona simjui"" daahh kuna watu kweli wanakaziHahah mwana ukikaa naye ni stori za wabongo muvi na wabongo fleva tu,yuko vizuri kwenye tantalila sjui mzaramo.
Mkuu huwezi jua kila mtu dunia hii,huyo ni team dabliusibii kitambo sanahahaa mbona simjui"" daahh kuna watu kweli wanakazi
[emoji23] [emoji23]Uko makini sana mkuu unafaa kuwa maker Wa mitihani ya PHD
Acha tuu..Mahawara wanafuturishana aiseee bila unafiki maisha hayaendi.
Unafiki hadi kwenye masuala ya dini!!!?
Acha maskhara mkuu.Le Mutuz anajiweza kimaisha?Au unaangalia uwezo wa baba yake,Dada yake Mwelle na mama yake wa kufikia?Ni siri ya Mungu mwenyewe na nia za hao wafutarishaji...though inasisitiza kuwafutarisha walio masikini/fukara..ila hao waalikwa takribani woote ni watu wanaojiweza sana kimaisha.
Le Kokobangaz ni bonge la tycoon, au hujaona ile mansion yake ya Tabata?Acha maskhara mkuu.Le Mutuz anajiweza kimaisha?Au unaangalia uwezo wa baba yake,Dada yake Mwelle na mama yake wa kufikia?
Nadhani kiuhalisia nyie wa Tandale ndio mliopaswa kufuturishwa.Mbezi Beach sisi wa Kwamtogole tumeiona instagram
Haaa haaa aaa sijaona mkuu,hebu tupia KaPhoto tafadhali!Le Kokobangaz ni bonge la tycoon, au hujaona ile mansion yake ya Tabata?
U knowHaaa haaa aaa sijaona mkuu,hebu tupia KaPhoto tafadhali!