screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kwakweli, I wish namimi ningekuwa na moyo kama wake. Yaani unaweza kumshangaa anawezaje kufanya kitu ambacho kila mtu anakiona cha kipumbavu kwa umri wake ila yeye anaona kawaida tu na wala hajali[emoji16]Jamaa anaweza ishi maisha marefu .Pamoja na yote anarizika sana na maisha yake.Halafu ni Care free.Watu wa design hiyo huwa wanaishi sana!