Iftar ya WCB jana

Hivi hapo wcb walichofanya wanapata maswawabu??
Ni siri ya Mungu mwenyewe na nia za hao wafutarishaji...though inasisitiza kuwafutarisha walio masikini/fukara..ila hao waalikwa takribani woote ni watu wanaojiweza sana kimaisha.
 
Lekibamiaz njaa itamuua toka lini anafunga na yeye? Anafuturu nini sasa au kufuturu ni ili mradi kula?
 
Ni siri ya Mungu mwenyewe na nia za hao wafutarishaji...though inasisitiza kuwafutarisha walio masikini/fukara..ila hao waalikwa takribani woote ni watu wanaojiweza sana kimaisha.
Acha maskhara mkuu.Le Mutuz anajiweza kimaisha?Au unaangalia uwezo wa baba yake,Dada yake Mwelle na mama yake wa kufikia?
 
Le Kokobangaz ni bonge la tycoon, au hujaona ile mansion yake ya Tabata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…