Iftar ya WCB jana

Jamaa anaweza ishi maisha marefu .Pamoja na yote anarizika sana na maisha yake.Halafu ni Care free.Watu wa design hiyo huwa wanaishi sana!
Kwakweli, I wish namimi ningekuwa na moyo kama wake. Yaani unaweza kumshangaa anawezaje kufanya kitu ambacho kila mtu anakiona cha kipumbavu kwa umri wake ila yeye anaona kawaida tu na wala hajali[emoji16]
 
Wema akiitwa kwenye sherehe za wcb anakuwa wa kwanza ana kiherehere kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…