Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

Kwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.
nashukuru kwa hilo mamndenyi
 
Mh!
Kutangaza uchumba hadi ndoa imekuwa jukumu la mwanamke toka lini?
BTW
I wish you all the best,naomba jukumu la kumuogesha bibi harusi!
husbnd 2 be yupo busy kulingana na kazi yake, majukumu imebidi aniachie mm
 
Ninaomba mwongozo!!

YEGOO hebu ulizia tukitaka kufunga barabara kadhaa malipo ni kias gani coz lazima baadhi ya barabara zifungwe kuruhusu msafara wa harus yetu mpaka tumalize mizunguko yetu,fanya faster unipe jibu pesa c tatizo!
 
Kwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.

Afu wewe unaweza dodoshea viagra kwa bahati nzuri kwenye chakula cha bwana harusi, ninavyokufahamu...!!, sikuamini amini ujue...
 
Kwa kunipa kamati ya chakula una maana nitoe huduma high table au nisimamie maakuli?
nitahakikisha maharusi hasa bw harusi amepata lishe yakutosha ili usije ukaibuka na
malalamiko ya ukosefu wa nguvu.

Nguvu gani...Fafanua tafadhali...Zipo nguvu za aina nyingi..
 
passion lady ,nashukuru m kwa nafasi uliyonipa ila kutokana na uwingi wa majukumu naomba nafasi yangu aishike bwana mdogo wangu Judgement asaidiane na mzabzab, ila angalizo.. huyu mzabzab angalia akipata kitu cha kugegeda anaweza akaacha shughuli akaenda kugegeda mtu.....
 
Last edited by a moderator:

baba v we faulisha majukumu,kuhusu mzabzab nitasema nae,agegede pale muda unapomruhusu!asijeharibu shughuli bureeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…