Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
- Thread starter
-
- #101
watu8 my akanana ana uwezo vizuri tu ndio maana tumea hamua kuwa tofauti na harusi zingine ambazo wanaume wana tangaza!
Wanawake wanaweza na akanana passion lady ana onesha mfano sasa!
I no that u ar very busy bby thats y i don wanna disturb u 4 anything!thanx 4 appreciate swr!
watu8 my akanana ana uwezo vizuri tu ndio maana tumea hamua kuwa tofauti na harusi zingine ambazo wanaume wana tangaza!
Wanawake wanaweza na akanana passion lady ana onesha mfano sasa!
watu8 wala hakuna Kanjbai hapa,bby wangu kakujibu vizuri sana,wanawake tunaweza naw days!
Haya wajameni...maandalizi mema, bahati mbaya nitakuwa nje ya nchi kikazi...
Twambie una rejea lini?
Hadi march mwishoni...
Ruttashobolwa unamdanganya mwenzio heshima ndani ya nyumba siku hizi inajengwa ki dijital shauriyo na inawezekana hujui kwanini ndoa nyingi za wanakijiji wa CC hazidumu.mwambie kabisa!
tena mwambie Nicas Mtei asisahau kuja na Tenzi za rohoni
ztakuwepo
what is the kala of the wedding my dear passion lady?
flower girls inabidi tuchague outfits za nguvuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
puple my dear paloma mixer gold o black,pia kuna dark blue mixer silver!sasa flower girl mtaamua ipi inawafaa!wajulishe na wenzio mfanye uchaguzi sahihi!
puple my dear paloma mixer gold o black,pia kuna dark blue mixer silver!sasa flower girl mtaamua ipi inawafaa!wajulishe na wenzio mfanye uchaguzi sahihi!