Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
- Thread starter
-
- #161
How are you lov?
i no kwmba hakuna swr ila hizi chokochoko some tym inabidi nijihami bby!
Hahahahhaha
kujihami nako ni kuzuri sana!
Am more than cool!
my husband sijamsoma huyu mdada lachicaguapa!
Anamtaka mumeo
Kuwa makini passion lady
Wanaume wa digital so Kama wa analogue ambao unaweza kuwacontrol, mama usishangae tarehe ya harusi yapelekwa mbele kila ukikaribia...mi nasomeka wewe husomeki...shauri yako...
Let my passion lady drink passion juice from i!
Harusi Lini mamy niagize nguo kwa designer wangu Alexander McQueen's au Miu Miu , hii si ya kukosa kabisa ..
Naona huyo bibi harusi mtarajiwa kanichinjia baharini