ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Apr 8, 2013 #41 aisee siku hizi shule zinafundisha uchomaji majengo..
C calvinbway New Member Joined Nov 11, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Apr 27, 2013 #42 sasa ndo muafaka wa vyeti umefikia wapi kwa anaefahamu au kuskia?
C calvinbway New Member Joined Nov 11, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Apr 27, 2013 #43 ianaejua chochote kuhusu hii habari atufungue kidogo..
N newton zacharia Member Joined Apr 15, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Apr 28, 2013 #44 da hiyo baraa, mm nilimaliza form six ifunda, mwaka 2008, na mpaka muda huu sikuchukuwa cheti changu,
da hiyo baraa, mm nilimaliza form six ifunda, mwaka 2008, na mpaka muda huu sikuchukuwa cheti changu,
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Apr 28, 2013 #45 Watakuwa wamechoma hao hao wasomi wao.