Nyakipambo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 435
- 141
Wavaa pedo hao....aka tukose wote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ninavyofahamu kila shule huwa ina sefa kwa ajili ya vyeti vya wanafunzi. Itashangaza sana ukiniambia vyeti pia vimeungua. Ina maana huwa vinawekwa kwenye kabati?
Aiseeeee we King'asti vp tena .........................?Ng'ombe wa maskininhazai. Akizaa anazaa dume afu dumelnyewe shoga!
Kwa ninavyofahamu kila shule
huwa ina sefa kwa ajili ya vyeti vya wanafunzi. Itashangaza sana
ukiniambia vyeti pia vimeungua. Ina maana huwa vinawekwa kwenye
kabati?
Ifunda the glorious,
Technical School,
Live Long Forever,
With Our Motto..."Skills and Efficiency"..and Our School
Shall Shine Forever More,
Oooh, God Bless Our School
Wewe unaishi wapi? Labda kama unaongelea shule hizi za Kata. Lakini kama ni shule za sekondari za zamani zote zina ama safe halisi na ambayo wenye uwezo wa kuifungua ni mkuu wa shule na mtaaluma tu. Hiyo safe hawezi kufungua mtaaluma peke yake au mkuu wa shule peke yake. Ni lazima wawepo wote. Na ukienda kuchukua cheti ukakuta mmojawapo hayupo, hupati. Kwa vyuo nashule zilizo nyingi ambazo hazina safe halisi wameijenga kwa tofali na kutengeneza mlango wa chuma. Kama wewe hujaona hili basi una bahati mbaya. Mimi ni mwalimu na shuleni kwetu tunayo hiyo.fire proof safe for every school? Kaka unaongelea U.S. au wap!
Dah...imenikumbusha baadhi ya maneno katika wimbo wa shule!
Nawakumbuka waalimu wangu kajembura, raphael(part time), luwahgo, kiwale, makyandu, luanda, kaguo,mruma, salwat, mnaroma, chota, narimi na wengineo poleni sana.
Inasikitisha sana. Kama imechomwa kwa makusudi, najaribu kufikiria lengo la mchomaji lilikuwa ni lipi? Kumbe na wewe umepita pale rafiki?hahahaaa umenikumbusha mbali sana aisee.da ila nimesikitika kwa kweli.
R.I.P office
Kwa ninavyofahamu kila shule huwa ina sefa kwa ajili ya vyeti vya wanafunzi. Itashangaza sana ukiniambia vyeti pia vimeungua. Ina maana huwa vinawekwa kwenye kabati?
Usiku wa kuamkia jumapili tar 7 april watu wasiojulikana wamechoma moto ofisi ya taaluma hapo shuleni na kuteketeza kabisa kila kitu. Hakuna kilicho okolewa. Hasara ni kubwa sana zaidi ya mamilioni. Vyeti ya wahitimu form four na form six, vitabu na nyaraka muhimu navyo vyote vimeteketea