MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam