IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

Wakuu, ili suala la IGA ni technical

Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.

IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.

Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.

Wasalaam
Hv hoja za hao mawakili umezielewa ? Hv unahis professor shiv ni mjinga ila mama yako alisoma madrasaa tu ndo yupo timamu?
 
Alishasema yeye na magufuli ni kitu kimoja na ccm ni moja, si unaona anavorukaruka kwenye bandari kama mwenzake alivorukaruka loliondo, yaani ubunifu hakuna kabisa na hawana wazo la kuleta tija, mama yako huyo nchi imeshamshinda anabaki kupandisha kodi ya bia na hajui ashike lipi aache lipi maana kazoea shughuli kila siku kiguu na njia hatulii, utahisi anasafiri kufanya mambo ya maana kumbe hana lolote,
....Tatizo ndio Hilo !..
 
Wakuu, ili suala la IGA ni technical

Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.

IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.

Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.

Wasalaam
Tuliza mshono. Kesi bado ikomahakamani.
 
Acha dharau basi! Kama wanasheria na mawakili unawadharau hivyo je wale chawa waliolitolea ufafanuzi hilo la DP WORLD (steve mwijaku kitenge & co.?
 
Wakuu, ili suala la IGA ni technical

Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.

IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.

Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.

Wasalaam
Jinsi binadamu tunavyochukia ukweli, najua utatukanwa hapa kwa ukweli huu!!!
 
huo ubaguzi mpelekee mmako, nchi hii ni moja. Mmeshindwa kwenye hoja mnapandiki chuki na hamtakaa mfanikiwe Tanzania hii. Shida ni huo uhuru mliopewa
Mkuu ni wa kuwapuuza tu hawa. Kinachokera na kuchekesha wakati huohuo ni upumbavu wao wa kujifanya kutamka 'watanzania' kila wanapotoa uharo wao. Mbona huku mtaani hakuna hata mtanzania anayehangaika nao?!!! Waranzania wa wapi hao?!!! Hawa 10 wa humu?!!!!!!
 
Prof Shivji nae ni wakili wa kugonga mihuri ya mauziano ya Boda?

Mama Tibaijuka na jaji mstaafu Warioba je?

Anyways wewe, Steve Nyerere, Kitenge, Mwijaku na baba levo ndio wanasheria wa international haina shida
 
huo ubaguzi mpelekee mmako, nchi hii ni moja. Mmeshindwa kwenye hoja mnapandiki chuki na hamtakaa mfanikiwe Tanzania hii. Shida ni huo uhuru mliopewa
Mamaangu anahusikaje hapa ukizingatia Hana hata account jf???au unataka Leo nikalale kwny kitanda Cha baba yako halaf asbh unione naingia bafuni nikiwa nimefunga khanga ya mamaako kiunoni????acha ujinga kenge wewe
 
Wakuu, ili suala la IGA ni technical

Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.

IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.

Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.

Wasalaam
Ndio maana wako mahakamani. Au hujui wajibu wa mahakama?
 
Back
Top Bottom