MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wewe nae unaonekana Kama tapeli alozoea kugonga hela za kuuza boda boda bila hata mikataba au makubaliano,international exposure ikikosekana kwa mtu ndo itapelekea asiwe na capability ya kurise hoja muhimu Kama ukomo wa mkataba???mnazidisha promo kuliko hata utendaji wake,vijana tumekubaliana @kuamka@,,,,,!rip jpmWakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoe kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of his or her knowledge and capability.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Muda ni hakimu wa hakiWewe nae unaonekana Kama tapeli alozoea kugonga hela za kuuza boda boda bila hata mikataba au makubaliano,international exposure ikikosekana kwa mtu ndo itapelekea asiwe na capability ya kurise hoja muhimu Kama ukomo wa mkataba???mnazidisha promo kuliko hata utendaji wake,vijana tumekubaliana @kuamka@,,,,,!rip jpm
Na muda alishatoa hukum kuwa Tanganyika ilitaka kuporwa,kitaumana wakiforce,hili Jambo limewagawa mno wananchi,Muda ni hakimu wa haki
Jikite kwenye ibara za IGA acha maneno mengiWakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoe kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Upotoshaji ni mwingi sana, ziangaliwe faida na hasara za huo uwekezaji, baaasiNa muda alishatoa hukum kuwa Tanganyika ilitaka kuporwa,kitaumana wakiforce,hili Jambo limewagawa mno wananchi,
Kila mtu ni mwanasheria siku hiziJikite kwenye ibara za IGA acha maneno mengi
We Dogo Acha KashifaWakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoe kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Mwekezaji atatupangiaje masharti? Au wewe, Uliona wapi mpangaji anamwandikia masharti mwenye nyumba?Upotoshaji ni mwingi sana, ziangaliwe faida na hasara za huo uwekezaji, baaasi
Kuna kitu kinawapiga chenga, elimu elimu, elimuMwekezaji atatupangiaje masharti? Au wewe, Uliona wapi mpangaji anamwandikia masharti mwenye nyumba?
Kwa IGA hii, DPW akafie mbali na vipesa vyake.
😅😅😅Mwekezaji atatupangiaje masharti? Au wewe, Uliona wapi mpangaji anamwandikia masharti mwenye nyumba?
Kwa IGA hii, DPW akafie mbali na vipesa vyake.
Mruma ndio ana mudu sio?Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Jielimisheni mambo ya kimataifaMruma ndio ana mudu sio?
Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Narudia tena IGA ni technical, siyo kwa kila wakili na mwanasheriaMsando wa Giggy Money mzee wa madole ndiyo anaweza kutoa ufafanuzi? Vipi Prof Shivji , TLS nao sio Wanasheria?
Mruma siyo mwanasheria, yule mwengine aliulizwa swali akavunga anaumwa, aliyekuwa ndiyo kiongozi wa mawakili walioenda, sijui jina lake, anajina utafikiri gari limekwama kwenye mawe.Mruma ndio ana mudu sio?
Mruma siyo mwanasheria, yule mwengine aliulizwa swali akavunga anaumwa, aliyekuwa ndiyo kiongozi wa mawakili walioenda, sijui jina lake, anajina utafikiri gari limekwama kwenye mawe.
Hao ndiyo wataalam wa mwendazake, mama wa Kiunguja, akawaita, akawaambia, haya nendeni mkatetee mikataba na sheria zenu.Ndio wanasheria wenu hao, dp weledi wamewapiga kwenye iga mnasubiri kuzikwa kwenye hga,
Hao ndiyo wataalam wa mwendazake, mama wa Kiunguja, akawaita, akawaambia, haya nendeni mkatetee mikataba na sheria zenu.
Matokeo? Wanajambajamba hovyo, wamehenyeshwa na vijana wadogo kabisa..