Hv hoja za hao mawakili umezielewa ? Hv unahis professor shiv ni mjinga ila mama yako alisoma madrasaa tu ndo yupo timamu?Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
...Ikiwemo na Wewe Mwenyewe [emoji57][emoji57]!!Kila mtu ni mwanasheria siku hizi
....Tatizo ndio Hilo !..Alishasema yeye na magufuli ni kitu kimoja na ccm ni moja, si unaona anavorukaruka kwenye bandari kama mwenzake alivorukaruka loliondo, yaani ubunifu hakuna kabisa na hawana wazo la kuleta tija, mama yako huyo nchi imeshamshinda anabaki kupandisha kodi ya bia na hajui ashike lipi aache lipi maana kazoea shughuli kila siku kiguu na njia hatulii, utahisi anasafiri kufanya mambo ya maana kumbe hana lolote,
Jibu hoja kwa hoja iliyo bora, matusi ya nini?Hv hoja za hao mawakili umezielewa ? Hv unahis professor shiv ni mjinga ila mama yako alisoma madrasaa tu ndo yupo timamu?
Kutazama IGA kama mkataba wa kuuziana fenesi au magimbi ni changamoto, tuendelee kujielimisha mambo ya kimataifa na global investment trends...Ikiwemo na Wewe Mwenyewe [emoji57][emoji57]!!
Prof wa miaka ya 1980s anawezs akawa na up to date information? Knowledge ya huyo Prof is obsoleteVipi kuhusu Prof Shivji naye? Au naye anagonga mikataba ya bodaboda. Tusidhalilishane
Tuliza mshono. Kesi bado ikomahakamani.Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Hujawahi jiuliza kwanini mawakili wa Dar hawajishughulishi na hiyo kitu?Tuliza mshono. Kesi bado ikomahakamani.
Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
huo ubaguzi mpelekee mmako, nchi hii ni moja. Mmeshindwa kwenye hoja mnapandiki chuki na hamtakaa mfanikiwe Tanzania hii. Shida ni huo uhuru mliopewaNa muda alishatoa hukum kuwa Tanganyika ilitaka kuporwa,kitaumana wakiforce,hili Jambo limewagawa mno wananchi,
Jinsi binadamu tunavyochukia ukweli, najua utatukanwa hapa kwa ukweli huu!!!Wakuu, ili suala la IGA ni technical
Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability.
IGA is not for every advocate or lawyer, its technical.
Hawa mawakili wa Mbeya ambao hawana international exposure, wafanye shughuli nyingine. Nimeambiwa parachichi zinakubali, waanze na hilo.
Wasalaam
Mkuu ni wa kuwapuuza tu hawa. Kinachokera na kuchekesha wakati huohuo ni upumbavu wao wa kujifanya kutamka 'watanzania' kila wanapotoa uharo wao. Mbona huku mtaani hakuna hata mtanzania anayehangaika nao?!!! Waranzania wa wapi hao?!!! Hawa 10 wa humu?!!!!!!huo ubaguzi mpelekee mmako, nchi hii ni moja. Mmeshindwa kwenye hoja mnapandiki chuki na hamtakaa mfanikiwe Tanzania hii. Shida ni huo uhuru mliopewa
Mamaangu anahusikaje hapa ukizingatia Hana hata account jf???au unataka Leo nikalale kwny kitanda Cha baba yako halaf asbh unione naingia bafuni nikiwa nimefunga khanga ya mamaako kiunoni????acha ujinga kenge wewehuo ubaguzi mpelekee mmako, nchi hii ni moja. Mmeshindwa kwenye hoja mnapandiki chuki na hamtakaa mfanikiwe Tanzania hii. Shida ni huo uhuru mliopewa
Ndio maana wako mahakamani. Au hujui wajibu wa mahakama?Wakuu, ili suala la IGA ni technical