Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Adrian Stepp umedandia bajaji kwa mbele, utaumbuka...ungekuwepo tokea mwanzo wa post ungejua makosa yake na namna asivyokuwa msikivu! Kuna posts zimefutwa...Alikuwa na lengo zuri,akakosea kuliwasilisha,alivyosahihishwa akachafua hali ya hela,baas tukamuunganishia tela,ana bahati maana vita ya maneno inaumiza kuliko ya vitu vyenye ncha kali!
lols eti" tukamuunganishia tela"acha mambo ya kishogashoga we mtoto wa kiume..
Last edited by a moderator: